3 Bedrooms House for sale at Kibamba, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA KIBAMBA GOGONI
Umbali km 1.5
Ukubwa wa eneo SQM 750
Vyumba 3 vyakulala 2 ni master bedrooms sebule dinning jiko na public toilet
Bei Million 68 (maongezi yapo )
Nyumba ina HATI MILIKI YA WIZARA
Nyumba ina fence tayari bado geti Tu
Service charge 30,000/=
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.