3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam







🏡 Nyumba ya Kisasa Inauzwa – Kigamboni, Geza (Wilayani)
Bei: TSH 220,000,000
Hati: Hati ya Wizara
Status: Nyumba ya Kuhamia Mara Moja
⸻
📍 Mahali
Nyumba ipo Kigamboni – Geza (Wilayani), katika mtaa tulivu ulio na mpangilio mzuri, majirani wema, na iliyo karibu na huduma zote muhimu za kijamii.
⸻
🏠 Muundo wa Nyumba
• Vyumba 3 (kimoja Master Bedroom)
• Sebule kubwa
• Dining Room
• Public Toilet
• Jiko la kisasa lenye makabati
• Store
⸻
✨ Huduma & Ustawi
• Full AC
• Garden nzuri
• Eneo la kupumzikia nje ukiwa nyumbani
• Electric Fence kwa ulinzi wa uhakika
• Nyumba mpya na tayari kuhamia
⸻
🔑 Faida
• Ipo kwenye eneo zuri na lenye maendeleo
• Miundombinu bora
• Usalama wa kutosha
• Inafaa kwa familia au uwekezaji
⸻
0713661530_0783661530



















