3 Bedrooms House for sale at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI, VYUMBA 3,TSHS.60 MILIONI, KIMARA STOP-OVER.
Hii nyumba inahitaji Umakiziaji kidogo.
Ipo umbali wa mita 600 tu kutoka Barabara ya Morogoro.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.500.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Vyumba 3 (Masta 1)
Pia Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Mtaa mzuri na Gari inafika misimu yote.
________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
________________rkMb


















