3 Bedrooms House for sale at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA KUBWA YA KIFAMILIA INAUZWA
CONTACT....
LOCATION KIMARA SUKA
TSH 55 MILIONI MAONGEZI YAPO IPA KIDOGO SANA
KIMARA SUKA GORANI
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA NA DINING
JIKO KUBWA NA STORE
PUBLIC TOILET YA NDANI
MAJI YANA TILILIKA NDANI
UMBALI KM 2.5
BAJAJI 1000
HAIPO NDANI YA FENSI ILA USALAMA UPO WA KUTOSHA NA GARI INAFIKA HADI MLANGONI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.30.000
0746 433 854