3 Bedrooms House for sale at Kinyerezi, Dar Es Salaam


Kiwanja kizuri Sana Kinauzwa Chenye Nyumba ya vyumba 3 vya kulala ya kifamilia kipo Kinyerezi Kichangani
Bei: 60 Milion #maongezi_yapo
📍location: Tabata kinyerezi Kichangani
Umbali Ni KM 2 Tu Kutoka kinyerezi Mwisho
✅️Fully Documented (Nyalaka za Serikali za Mtaa)
Ukubwa wa Kiwanja Ni Sqm 850
Huduma zote Muhimu Zipo
📍Umeme
📍Maji
📍Hospital
📍Shule
Kiwanja kipo Katika mazingira mazuri sana Mtaa mzuri kumejengeka sana panafaa kwa uwekezaji au kwa kuishi vyovyote vile panalipaa
Kwa Mawasiliano Zaidi
Calls:
0785916587 Whatsp/Calls
0627511524 Whatsp/Calls