3 Bedrooms House for sale at Kinyerezi, Dar Es Salaam







Nyumba mpya kabisa Inauzwa - Kinyerezi Kibaga
- Vyumba: 3 (master + 2), sebule, dining, jiko la kisasa lenye makabati, store.
- Ziada: Boycotta, choo cha nje, full A/C, mafeni, kisima, tanki la maji, electric fence, remote control gate.
- Dakika 3 kutoka kituoni
- Eneo: 500 sqm, parking kubwa, paving.
- Hati: Safi tayari.
- Bei: TZS 410M (maongezi kidogo).
Muhitaji piga au tuma ujumbe WhatsApp +255688412890