3 Bedrooms House for sale at Kitunda, Dar Es Salaam


NYUMBA YENYE NAFASI, VYUMBA 3, TSHS.75 MIL. 'KWA-SUGUYE, KITUNDA.
Almaarufu eneo ni MATEMBELE YA PILI.
Vyumba 3( 1 masta) Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. 
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 1,050.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. 
Nyumba ina nafasi na Hali YAKUHAMIA. 
Parking yakutosha na kuna KISIMA. 
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000 
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. 
+255714591548
_____________mskv
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.



















