3 Bedrooms House for sale at Kivule, Dar Es Salaam


*Nyumba inauzwa Kivule Matembele ya Pili*
*Location* Nyumba ipo Barabara kubwa Kivule kwenye lami
*Nyumba haijakamilika vitu vichache*
-Vyumba vitatu vya kulala, kimoja master, sitting room, dining, kitchen na public toilet.
-Nyumba ina fremu tatu za biashara na choo chake
-Plot size 625
-Document: Leseni ya Makazi 0787 939 898
*Bei shilingi milioni 50 maongezi yapo*