3 Bedrooms House for sale at Kivule, Dar Es Salaam


SASA NJOO NA TSHS.50 MILIONI,KIVULE/FREMU-KUMI.
Nyumba mpya YAKUHAMIA.
Imejengwa kisasa na ipo ndani ya Fensi.
Parking safi yenye Paving na ina Ka-Garden area ka-kizushi na ina Tank la Hifadhi ya Maji ya akiba.
Unaishi kiBoss kwa Bei rafiki.
Vyumba 3 vya kulala (Masta 1)
Sebule, Jiko na Choo cha Familia ndani.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_____________mskv