3 Bedrooms House for sale at Kongowe, Pwani


NYUMBA YAKISASA, BEI YAKUOKOTA,TSHS.55 MILIONI TU, KONGOWE-KIBAHA.
Hii nyumba ipo kilomita 1.5 kutoka Barabara ya Morogoro.
(Mwendo wa Dakika 15 kwa miguu/Boda Buku tu)
Vyumba 3 (Masta 1)
Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Kiwanja SQM.400.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_______________