3 Bedrooms House for sale at Mabanda, Tanga


Nyumba nzuri sana inauzwa:
Nyumba ipo barabara ya mtaa na mtaa ni mzuri sana
Nyumba inavyumba vi 3 kimoja masta 
Dirning sitting jiko stoo public toilet maji dawasco na mabanda ya kuku
Eneo- sqm 500
Umiliki-mauziano serikali za mtaa 
Bei-ml 70 maongez 
Location- madale mwisho njia ya mbopo 
Umbali-km 1.7 kutoka main road madale mwisho 
#0719115274
#0624240778
#upendorealestateproperties🇹🇿




















