3 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI, VYUMBA VITATU (3)TSHS.80 MILIONI, MADALE MBOPO.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 500.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Kwa Daladala unashukia Madale Mwisho.
Tsh.1,000 hadi Mjengoni.
Hii ni nyumba ya kisasa.
SAFI ya KUHAMIA na Mtaa tulivu.
__________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________mpg
Vyumba vya 3 ( Masta 1)
Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani.
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.