3 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam


Nyumba mpya nzuri sana ya kisasa inauzwa:
Ni ya kumalizia finishing chache
Room 3 moja self
Dirning sitting jiko stoo na public toilet
Eneo-sqm 800
Umiliki-mauziano serikali za mtaa
Bei-ml 60 maongezi
Location- madale mbopo upande ambao sio wa DDC
Umbali-km 3.5 kutoka main road madale mwisho
Na mita 300 kutoka barabara kubwa ya mbopo inayowekwa lami
Karibuni
☎️ #0757208653