3 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI SANA INAUZWA MADALE MBOP0 - DAR ES SALAM.
Ina Vyumba Vitatu Kimoja Master, Dinning, Sitting, Kitchen&Public Toilet
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa (Eneo Limelasimishwa Tayari)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 500
Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo
Nyumba Iko Mtaa Mzuri Umejengeka Vizuri (Full A/c & Fanced )
Bei : 70 Million (Maongezi Kidogo)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=
Contact
0652472014
0754344786