3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam


NYUMBA MBILI NDANI YA ENEO MOJA ZINAUZWA KWA NIABA YA BANK MBAGALA NZASA "A" - TEMEKE MUNICIPALITY.
Mawasiliano: 0782117054-0718802350
Kila Nyumba Ina Vyumba Vitatu Kimoja Master, Sitting,Kitchen&Public Toilet
Pia Kuna Flem Mbil Za Biashara Nje
Umiliki: Leseni Ya Makazi (Residential Licence)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 738
Umbali: Meter 200 Tu Kutoka Barabara kuu/ Shule Ya Msingi Nzasa "A"
Bei : 39.9 Million (Makadilio)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000 /=