3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam


NYUMBA TATU KATIKA KIWANJA KIMOJA, MGENI NANI MBAGALA.
Hizi nyumba zinauzwa Bei rafiki.
Zipo NJIA PANDA YA NELUKA SEKONDARI,
MBAGALA KUU/MGENI NANI.
Kiwanja ki a ukubwa wa SQM.1,50].
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ni mita 10p tu kutoka Barabara ya Lami.
Nyumba tatu:
Kila moja inajitegemea na ina vyumba 3 (Masta 1)
Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.
Bei kwa nyumba zote ni Tshs.60 Milioni.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.