3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam


NYUMBA MPYA VYUMBA 3, TSHS.68 MILIONI, MBAGALA SAKU/MZAMBARAUNI. 
Hii ni nyumba nzuri YAKUHAMIA. 
Ni mpya na haijawahi kukaliwa.
Vyumba 3 (Masta 1) Pia Ina Sebule,Jiko,Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani. 
Parking Safi yenye Paving, 
Dirisha za Vioo,
Tiles chini, Ceiling ya Gypsum. 
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 460.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. 
______
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000 
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. 
+255714591548
_________



















