3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam







BOSS WANGU IYO KAZI IME NJOOKA SANA IPO MBAGALA CHAMAZI MTAA WA DOVYA INA UZWA BEI NZURI SANA TSH MIL 50 TU
NYUMBA KALLI SANA INA ENEO SQMT 380
INA DOCUMENTS YA MAUZIANO YA OFFICE YA 🏬 SERIKALI YA MTAA
VYUMBA VIPO VITATU VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BDROOM INA SITTING ROOM INA DAINING ROOM NA JIKO PAMOJA NA PUBLIC TOILET
NYUMBA IPO JILANI KABISA NA KITUO CHA DALA DALA ZA NZARA
VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BDROOM INA SITTING ROOM INA DAINING ROOM NA JIKO PAMOJA NA PUBLIC TOILET
INA NA FREM MOJA YA DUKA
NYUMBA KALLI SANA IPO KWEL MTAA NZURI SANA
0759 203175 📞 0652 618 143 📞