3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam







NYUMBA KALLI SANA INA UZWA BEI YA KUTUPA SANA TSH MIL 44 TU
INA UZWA BEI NZURI KWEL KWEL IPO MBAGALA CHAMAZI MKOA WA DAR ES SALAM WILAYA YA TEMEKE KATA YA CHAMAZI MTAA WA VIGOA MIKUMI
0759 203175 📞 0652 618 143 📞
KWA MAELEKEZO ZAIDI NIPIGIE CM AU NICHEKI WHATSAPP
HII SI YA KUIKOSA KABISA NI NYUMBA NZURI SANA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BDROOM INA SITTING ROOM INA DAINING ROOM NA JIKO PAMOJA NA PUBLIC TOILET 🚻
INA MAJI NA UMEME UPO WA RUKU UKUBWA WA ENEO SQUARE MITER 350
INA DOCUMENTS ZOTE ALALI ZA OFFICE YA 🏬 SERIKALI YA MTAA
NJOO NKUZIE HII NYUMBA BOSS WANGU UKIWA SIRIOUSE UWEZI KUIYACHA KABISA