3 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA KUBWA SANA YA KISASA INA UZWA MBEZI KWA MSUGULI
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM SEBULE KUBWA DINING JIKO
BEI NI MILION 120 MAONGEZI YAPO USIOGOPE KUFIKA SAITY
NYUMBA INA ENEO LINA SQWEA METER 400
MAUZIANO SELEKALI YA MTAA
BARABARA YA ZEGE SAFI
UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO
KWENDA SAITY NI 50000
#0760097834
#0716938128
#0692198834