3 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam







BEI MILIONI 27
NYUMBA INAUZWA IPO
MBEZI MALAMBA KITUO MAKUTI
IPO SEHEMU NZURI SANA KARIBU NA BARABARANI 
KISHUKA TU KUTEMBEA DAKIKA  6 KWA MIGUU
SIFA YA NYUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTA SEBULE  JIKO 
CHOO CHA PABILIKI 
STOO 
MAJI  DAWASKO 
UKUBWA WA ENEO SM 200
NYUMBA INAPANGAJI 
ANALIPA LAKI  3
KUPELEKWA KUONA 25000
KARIBU MTEJA
SIMU
+255 684 88 14 29 
+255 658 58 64 49 
MSHATI




















