3 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam







#OFA #OFA #OFA NIMEISHUSHA BEI KUTOKA MILIONI 35 HADI 30 NA BADO MAONGEZI YAPO VIZUR TU
#BEI NI MILIONI 30 NA MAONGEZI YAPO VIZUR SANA NDUGU MTEJA NYUMBA
#LOCATION MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KM 2 KUTOKA MOROGORO ROAD BRBR NI LAMI YA ZEGE MPKA SAITI
NI PAGALE NZURI SANA LINAUZWA LIMEJENGWA MUUNDO WA HANDA GROUND
APO LILIPO NI KUMWAGA JAMVI JUU CHIN TIARI UNA NYUMBA YA KUANZIA MAISHA NDO BAADE UENDELEZE JUU
NA HII YA CHUN INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE JIKO NA PUBLIC TOILET
UKUBWA WA KIWANJA NI SQM 350
HILI ENEO LIPO MTAA MZURI SANAAA ULIOJENGEKA NA WATU WENYE AKILI ZAO AMNA USWAILI HAP MTAA NI WA KISHUA MNOO
BRBR SAFI MPKA SAITI
SERVICHAJ ELIFU 25
CONTACTx0677370515



















