3 Bedrooms House for sale at Msongola, Dar Es Salaam


NYUMBA YA BEI RAFIKI,TSHS.30 MILIONI,MSONGOLA.
Ipo jirani na Kituo cha Daladala.
Na kumbuka ni Gari moja tu kufika Mjini.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 320.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
HII NI YA KUWAHI.
Vyumba 3 (Masta 1)
Pia ina Sebule,Jiko,
Dining-room na Choo cha Familia ndani .
________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
________________mskv