3 Bedrooms House for sale at Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA MPYA, VYUMBA 3, TSHS.40 MILIONI, PUGU KAJIUNGENI.
Kiwanja SQM.50P.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ipo jirani na Barabara ya Lami.
Huduma za Umeme na Maji zipo.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548.
___________tP
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.