3 Bedrooms House for sale at Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA YENYE VYUMBA 3, TSHS.75 MILIONI, PUGU KONA.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 600.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ipo jirani na Barabara ya Lami.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe Mnunuzi )
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
_____________tP
Vyumba 3 (Masta 1) Pia Ina Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.
Huduma za Umeme, Maji na Egesho la Gari ndani Uzio.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.