3 Bedrooms House for sale at Sinza, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI YENYE VYUMBA 3, TSHS.230 SINZA.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.288.
Umiliki nj HATI HATI HATI (Title Deed) ya Wizara.
Nyumba Ina Vyumba vya kulala 3 (Masta 1)
Pia ina Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Parking ipo.
Ina Tiles,Gypsum,
Dirisha za Vioo na AC.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
____________pk