3 Bedrooms House for sale at Tabata, Dar Es Salaam


Kiwanja Kinauzwa Tabata Segerea.
- Kina fence pande mbili
- Ni tambarare kabisa
- Panafikika bila shida
- Huduma zote za kijamii zipo
Unweza jenga nyumba ya kuishi ya vyumba vitatu, sebule, jiko na public toilet.
UKUBWA: 15 x 20
BEI: Mil 12
Service charge 20,000/=.
Muhitaji piga 0688 412 890.