3 Bedrooms House for sale at Ukonga, Dar Es Salaam


NYUMBA YENYE VYUMBA VITATU (3) TSHS.28 MILIONI, UKONGA MOMBASA/BOMBAMBILI.
Kiwanja kina ujubwa wa SQM. 400.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Nyumba nzuri inauzwa BEI YA DHARULA.
Wahi ujikomboe wewe na Famikia yako.
Imejengwa kisasa.
Vyumba 3 (Masta 1) Sebule, Jiko na Choo cha Familia ndani.
Vilevile kuna Frem moja ya Biashara.
MUNGU AKUPE NINI?
Narudia tena HII NI BEI YA DHARULA, WAHI.
Huduma za Umeme na Maji zipo.
__________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
__________mpg
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.