3 Bedrooms House for sale at Ukumbi, Iringa






NYUMBA /BANDA INAUZWA BUNGI KARIBU NA UWANJA WA MPIRA
#unguja #zanzibar
Umbali kutoka nyumba/Banda ilipo mpaka barabarani Mita 500
Vyumba 3 (Master 1) Ukumbi, Jiko, Public Toilet, Ukumbi wa chakula
Ukubwa wa kiwanja Mita 26x18
Bei Tsh 22,000,000/= Milioni ishirini na mbili
What's App/Call 0653007438
#mtegemeachanduguhufamaskini
#kimfaachomtuchake
#sisiniwahadhizote