3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Bunju, Dar Es Salaam


14/9/2025
Nyumba inapangishwa apartment 
Location bunju A mianzini Unatembea kwa miguu 
Kodi 500,000 kwa mwezi 
Miezi 6
Vyumba 3 kimoja master sitting room dinning room kitchen cabinet public toilets Inajitegemea maji na umeme 
Piga simu O745010009 au 0742707023




















