3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Goba, Dar Es Salaam


Apartments zinapangishwa, zipo Goba kwa awazi
Vyumba vitatu vyote master, Sitting Room, Dining Room, Kitchen na Public Toilet.
Bei ni Million 1 Laki 5
kwa mwezi, Malipo ni miezi 6 na mwezi 1 malipo ya Dalali.
Gharama za kuona 20,000
Wasiliana nami kwa
0718 809 744
Karibuni sana