3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kariakoo, Dar Es Salaam


Hii apartment ipo kariakoo faya
Ipo floor ya KWANZA NO LIFTH
Inavyumba vitatu kimoja ni master bedroom kubwa sebule jiko choo cha pablick inapangishwa ml 1 kwa mwezi Kodi miezi 6 mawasiliano๐0623997896