3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA CHAMA NJIA YA MLOGANZILA DAKIKA 3 KUTOKA LAMI
Vyumba 3 vyakulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
Bei:350,000 Kwa mwezi × 6
Umbali dakika 3 kwamiguu kufika kwenye nyumba
Ndani ya fence zipo 4 KILA MMOJA anajitegemea umeme na maji
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15k
PIGA SIMU 0659336751 wsp 0786085637