3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYAA KABISA HIZI UNAZINDUA MWENYEWE ZINAPANGISHWA 
HIZI KWAAJILI YA MATUMIZI YA OFFICE AU MAKAZI YA KAWAIDA
ZIPO JIRANI NA BARABARA KABISA NI DAKIKA 6-7 KWA MGUU 
LOCATION: KIMARA SUKA
KODI 1,000000X6
(Milioni moja kwa mwezi)
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA VIKUBWA SANA 
KIMOJA MASTER 
SEBULE KUBWA SANA
JIKO KUBWA LINAWEKWA MAKABATI 
NA KILA CHUMBA KINA MAKABATI YA NGUO 
NA MAFENI JUU
KWENYE COMPOUND MOJA ZIPO APARTMENT MBILI TU 
YA JUU NA YA CHINI 
ZIPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK 
NA GARDEN SAFI MAZINGILA MAZURI MNOO YA KISHUA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000 
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA 
PIGA SIMU USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA
CONTACT ME: 0672 673363




















