3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







( 500,000  x  6 )  KIMARA  MWISHO  APARTMENT  YA KISASA  INAPANGISHWA ZIPO (  3 ) TU  KWENYE COMPAUND MOJA  NDANI YA FENCE MOJA HIYO YA CHINI NDIYO IPO WAZI
UMBALI  WA KUTEMBEA DK 15 TU KWA MIGUU TOKA KIMARA  MWISHO  MWENDOKASS 
USAFIRI WA UHAKIKA BODA BUKU TU
VYUMBA(  3 ) VYA KULALA KIMOJA WAPO MASTER SEBULE KUBWA SANA ( DINING )  NA JIKO  LA KISASA LENYE MAKABATI  PUBLIC TOILET YA NDANI
TILES  GPYSUM  SLAIDING 
WINDOW
UMEME  MITA YAKO
MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
NDANI YA FENCE PARKING SPEACE KUBWA SANA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES GHUG 15,000/=
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
 what saapp number 0689-547258



















