3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







MPYA MPYA. KABISA
APARTMENT NZURI ZA KISASA ZINAPANGISHWA BEI NI 600,000/= X 6
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#PARKING NA PEVA ZINAWEKWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 600,000/= X 6
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI SHILINGI 300,000
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 12 NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA CM kuona na kulipa ruhusa mafundi wapo kazin
SIMU
0712656027