3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿#APARTMENT #INAPANGISHWA
📌Nimeshusha bei sasa ndugu mteja!
Kutoka Tsh 400,000/= hadi Tsh 350,000/= tu kwa sasa – Ofa hii ya kipekee!
📍Kimara Bucha
🕝1 km kutoka Morogoro Main Road, Boda Boda 1000, unaweza kutembea kwa mguu dakika 15 tu.
#SIFAZAKE
🔹Vyumba Vitatu vya kulala (hakuna master)
🔹Sebule kubwa
🔹Jiko kubwa
🔹Choo cha familia cha ndani
🔹Umeme & Maji #Inajitegemea
🔹Fenced & Parking Car
👉Zipo 3 tu kwenye fence moja na hii moja inapangishwa
🔸Kodi Tsh 350,000/= x6 (Miezi Sita)
🔸Malipo ya Dalali Tsh 350,000/=
🔸Service Charge Tsh 15,000/=
#Piga_simu👇
#0627977383.&Whatsapp📞
Karibu Sana Mteja 😊