3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA #KIMARA TEMBONI
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA NA VYUMBA VYOTE NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#PARKING
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#INAYOPANGISHWA NI YA JUU GOROFANI
BEI NI 600,000/=ร6
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI SHILINGI LAKI 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 TUU USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343