3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(400,000 Γ 6) πππ ππ₯π ππ’π₯π’ππͺπ
APARTMENT KALI NZURI SANA INAPANGISHWA
KIMARA KOROGWE DAKIKA 10 - 15 KWA MIGUU
BODABODA 1000
KODI 400,000 Γ 6
INA VYUMBA VITATU VIKUBWA VYA KULALA
HAKUNA MASTER ILA KUNA PUBLIC TOILET YA NDANI
JIKO KUBWA SANA
UMEME LUKU YAKO
MAJI YANA TILILIKA NDANI
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCKS
NYUMBA HII ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 1/11/2025
ILA KUONA NA KULIPIA RUKSA
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS 15,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Contact:
0654101710
0787205300