3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA
INAPANGISHWA
KIMARA SUKA
KODI YAKE 500K X 6.
INAYOPANGISHWA NI YA CHINI NDUGU MTEJA
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 01/12/2025
APARTMENT HII INASIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#HEATER ZA MAJI MOTO NA BARIDI
#FENSI YA UMEME
#GETI KUBWA LA RIMORT NA KILA MPANGAJI ANAPEWA RIMORT YAKE YA GETI KWA USALAMA MKUBWA
#GARDEN SAFI
BEI NI 500,000/= X 6
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) SHILINGI LAKI 5
💫💫APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA SIMU BILA KUCHELEWA:: 0672 673363



















