3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Apartment ya vyumba vitatu (350,000) #KIMARA_TEMBONI
APARTMENT NZURI SANA YA KIFAMILIA INAPANGISHWA IPO KIMARA TEMBONI
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA VIKUBWA SANA
KIMOJA MASTER
INA SEBULE KUBWA
INA JIKO KUBWA
NA PUBLIC TOILET
#KODI 350,000 × 6
IPO km 2 TU KUTOKA MOROGORO ROAD
USAFIRI BODABODA 1000 MPAKA MLANGONI AU BAJAJI PIA ZIPO
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI FULL PEVING BLOCK
KODI 350,000 × 6
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300