3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(600,000X6) KIMARA TEMBONI DK 12 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
——
MPYA MPYA. KABISA ZIMEBAKI 3 FANYA KUWAHI 💪
APARTMENT NZURI ZA KISASA ZINAPANGISHWA BEI NI 600,000/= X 6
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
VYUMBA 3VITATU VYA KULALA
KIMOJA NI MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA SANA
JIKO KUBWA
PUBLIC TOILET
LUKU YAKO
NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 600,000/= X 6
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI SHILINGI 300,000
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 12 NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA CM kuona na kulipa ruhusa mafundi wapo kazin
Piga cm
0716223412
0618976024