3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 500,000

#NYUMBA KUBWA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA NA ZIPO NYUMBA MBILI TUU NA ZIPO MBALI MBALI NA HII KUBWA NDIO INAPANGISHWA

#BEI NI 500,000/= X 6

APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#CHUMBA CHA KUJISOMEA
#AIR- CONDITION
#GARDEN

BEI NI 500,000/= X 6

BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) AMBAYO ITAKWATA HELA YA MWEZI MMOJA NDANI YA MALIPO YA MIEZI 6 KWAHIYO ITAHESABIKA MIEZI 5

๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ APARTMENT HII IPO #KIMARA_MWISHO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI

#KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5

#USAFIRI NI BAJAJI, DALADALA AU BODABODA NA NYUMBA IPO MTAA MZURI SANA NDUGU MTEJA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343

lenardjackson
dalali_kimara_suka_leonard
lenardjackson

Similar items by location

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI SANA YA KISASA INA PANGISHWA KODI 300,000X6 CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO FULL MAKABA...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT'S KALI SANA MPYAAA MPYAAA ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO DAKIKA.7 KUTOKA LAMI KWA KUTEMBEA K...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA YA JUU IPO WAZI #BEI 300K#MASTER KUBWA#SEBULE WASTANI#...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 20/02/2026 KUONA MALIPO RUKSA ENDA...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI SANA YA KISASA INA PANGISHWA KODI 300,000X6 CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO FULL MAKABA...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 180,000

APARTMENT KALI INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KODI 180,000X3 BAADA YAHAPO UNAWEZA LIPIA MWEZI ...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 20/02/2026 KUONA MALIPO RUKSA ENDA...

Plot for sale at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 36,000,000

BEBA HELA TAJIRI. KIWANJA KIZURI MNO KINAUZWA KIMARA STOP OVER#####KIKO UMBALI WA MITA 500 TU TOKA...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI SANA INA PANGISHWA KODI 300,000X6 VYUMBA 2 KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA JIKO KUBWAPUBL...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

๐Ÿก Masterbedroom, Sebule na Jikoโ€“ 500K TshFurahia maisha mazuri Kimara korogwe๐Ÿ”น Maelezo ya Nyumba:โœ”...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT NZURI SANA YA KISASA INAPANGISHWA KODI 400,000X6 INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTE...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 20/02/2026 KUONA MALIPO RUKSA ENDA...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 240,000

NEW NEW APARTMENT MPYA KABISA ---------------------#SEBULE KUBWA#CHUMBA MASTER#JIKO KUBWA#PUBLICK TO...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT NZURI KUBWA SANA INA PANGISHWA KODI 400,000X6 LOCATION: KIMARA STOP OVER UMBALI DAKIKA 10-...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 180,000

APARTMENT KALI INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KODI 180,000X3 BAADA YAHAPO UNAWEZA LIPIA MWEZI ...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 20/02/2026 KUONA MALIPO RUKSA ENDA...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI SANA YA KISASA INA PANGISHWA KODI 300,000X6 CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO FULL MAKABA...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI SANA YA KISASA INA PANGISHWA KODI 300,000X6 CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO FULL MAKABA...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI SANA INA PANGISHWA KODI 300,000X6 VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULEJIKO ...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER KM 1,5 KUTOKA STEND STOP OVER PIKIPIKI ELF 1KUPELEKWA KUONA N...