3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







KODI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
NI APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
.
IPO KIMARA KOROGWE KM 1.3 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI 50P
SIFA ZA NYUMBA
==============
NYUMBA INA VYUMBA VITATU VIKUBWA VYA KULALA KIMOJA MASTER KIKUBWA SANAA SEBULE KUBWA DAINING KUBWA JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET NZUR KWA
KILA CHUMBA KINA MAKABATI YA NGUO
NYUMBA INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
IPO NDANI YA FENCE PARKING SPACE KUBWA
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU NDUGU MTEJA WANGU
SERVICHAJ ELFU 15
CONTACT
0712656027