3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


:
APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA KIMARA MWISHO
Vyumba 3 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule kubwa dining jiko na public toilet
Bei:350,000 Kwa mwezi ร 6 ( Malipo miezi 6)
Umbali km 1.2 Bajaji zipo na bodaboda 1000 kulia kama unaenda mbezi
Apartments zipo 2 kila apartment inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
Ndani ya fence parking #hakuna Ila gari inafika mpaka mlangoni
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
0716 776247