3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(300,000X6)KIMARA MWISHO DK 7 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI YA FAMILIA INAPANGISHWA IPO KIMARA MWISHO UMBALI WA DK 7 MWENDO WA MIGUU KUTOKA KIMARA MWENDOKAS TERMINAL.
SIFA ZAKE -
zipo Apartments nne ndani ya fensi na kila moja inajitegemea Maji Dawasa pamoja na umeme.
Vyumba 3 VITATU vya kulala kimoja master bedroom kibwa.
Sebule.
Jiko.
Public toilet
Tails
Gypsum
Madirisha Aluminium
Ndani ya fensi Peving Parking space kubwa.
KODI ni laki 300,000 /=
Kwa mwezi.
Malipo miezi sita na Malipo ya dalali mwezi mmoja pindi ulipiapo nyumba.
Kuona nyumba elfu 15,000 /=
CONTACT US:-
0716223412
0618976024