3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT KALI SANAAA!!! INAPANGISHWA MBEZI MWISHO MAKABE:
KODI TSH 700,000X6
INA VYUMBA VITATU KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA JIKO KUBWA MAKABATI PUBLIC TOILET
NDANI YA FENSI FENSI ZIPO APARTMENT MBILI KILA MPANGAJI ANAJITEGEMEA KILA KITU
FULL A/C VYUMBA VYOTE HADI SEBULENI
USALAMA WAKUTOSHA MNOOO!!
KUONYESHWA NYUMBA TSH 20,000/=
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp Number 0689-547258