3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam




APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA
350K X6
π0
LOCATION π MBEZI KWA MSUGURI
KM 1.2
BARABARA YA ZEGE ππ
π₯SIFA ZAKEπ₯
**************
..VYUMBA VITATU 3...KIMOJA NI MASTER
...SEBULE
...JIKO
...PUBLIC TOILET YA NDANI
UMEME MAJI INAJITEGEMEAβοΈ
MAJI YANAFLOW KOTEβοΈ
TANK LIPO JUU βοΈ
IPO NDANI YA FENCE βοΈ
PARKING IPOβοΈ
USAFIRI...BAJAJ 700 ukishuka dk
4 tuu....BODA BUKU
KUTEMBEA DK 15 KWA MIGUU kutoka STAND YA MWENDOKASI MPK NYUMBANI.
NB: PICHA ZA NDANI BAADAE
..PIA BAADA YA MALIPO ITAFANYIWA UKARABATI
SERVICES 15K
USISAHAU PESA YA DALALI 350K UKILIPIA
#0710614924
#0688653940