3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam






APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 6
KIBANDA CHA MKAA
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA
#SEBULE KUUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET YA NDANI
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#CHUMBA KIMOJA NI MASTER
#DINING
❌HAKUNA PARKING
BEI NI 400,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIBANDA CHA MKAA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI NA UMBALI HADI KWENYE NYUMBA NI DK 13 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
## 0655256419



















