3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







0677445508
#APARTMENT INAPANGISHWA LOCATION #KIMARA_TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD KILOMETERS 1,5
USAFIRI BAJAJI SH 700K BODABODA SH 1000
---------------------------------------------
SIFA YA NYUMBA NI
#Vyumba vitatu vya kulala
#vyote master bedroom
#Sebule kubwa sana
#Dining room
#jiko zuri full makabat jikoni
HAIPO KWENYE FENCE
------------------------------------------
MPYA MPYA BEI SHILLING 400,000 X 6
---------------------------------------------
NYUMBA IPO BARABARANI
UKISHUKA KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DAKIKA 0
-‐---
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 20,000
UKIPENDA NA KULIPA DALALI UTAMPA HELA YA MWEZ MMOJA
CALL
CALL
☆☆☆☆☆☆